Baada ya Chadema kuongeza aya katika wimbo wa Taifa, Msajili wa vyama atoa kauli
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi amekionya Chama cha Demokrasia na Maendeleo #Chadema kwa kuongeza aya ya tatu katika wimbo wa Taifa wakati wa mkutano wao wa Baraza Kuu. #UchaguziMkuu2020 #Msajiliwavyama #ChademaWimboWaTaifaTazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:► https://bit.ly/2wB6zmRTufuatilie kwenye mitandao ya kijamii►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz