Azam TV – Manara ni bingwa wa burudani kuliko Simba na Yanga
Mkuu wa habari wa klabu ya Simba Haji Manara, alifunika kwenye mtanange wa Ngao ya Jamii baada ya kufanya vituko vya kipekee vilivyowaburudisha waliofika kwenye dimba la taifa kutazama mtanange wa watani wa jadi Simba na Yanga.